Timu ya Young Africans imefanikiwa kuwapiga wapiga kwata, Tanzania Prisons bao 1-0 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC
Mchezo uliopigwa Disemba 04, 2022 majira ya saa 10:00 kwenye dimba la Geita, kati ya wenyeji Geita Gold na Mtibwa Sugar
Timu ya Simba SC imefanikiwa kumaliza mchezo wake wa 15 katika duru ya kwanza kwa kuvuna ushindi mnono baada ya kuifumua Coastal Union
Mchezo kati ya timu ya Singida Big Stars na Namungo FC uliopigwa Disemba 2, 2022 kwenye uwanja wa Liti mjini Singida ulimalizika kwa SBS kuandika rekodi mpya
Shrikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia idara ya ufundi limeendesha mafunzo ya kwanza ya soka la ufukweni kwa wanawake yaliyofanyika Makao Makuu ya TFF, Ilala, Dar es salaam.
Mchezo uliozikutanisha timu ya Manispaa ya Halmashauri ya Kinondoni (KMC) dhidi ya timu ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya (Mbeya City)
Moduli ya tatu ya kozi ya ualimu wa mpira wa miguu CAF C diploma inaendelea makao makuu ya TFF Ilala, Dar es salaam ikijumuisha washiriki 45 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Tanzania Premier League
49′ Dodoma Jiji (0) – Singida Big Stars
FIFA U-17 Women World Cup
Oct 15,2022
Serengeti Girls (2) – France (0)
Tanzania Premier League
Dec 26,2022
Dodoma Jiji (0) – Singida Big Stars (1)
KMC (1) – Simba (3)
Azam (2) – Young Africans (3)
PLAY FAIR, BE POSITIVE
All we need to know about Tanzania Football Federation
Tanzania Football Federation is the governing body of football in Tanzania and oversees the Tanzania national football teams.
Building Tanzania as a football power house at every level. To take football forward, we control, regulate, develop and promote the game of football.
> LATEST NEWS

Young Africans Yaishusha Simba Kileleni
Timu ya Young Africans imefanikiwa kuwapiga wapiga kwata, Tanzania Prisons bao 1-0 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC wakiwaondoa Simba Sport Club iliyokalia usikani kwa huo kwa masaa kadhaa.

Geita Gold Yabanwa Mbavu Jiooni Ikiwa Uwanja wa Nyumbani
Mchezo uliopigwa Disemba 04, 2022 majira ya saa 10:00 kwenye dimba la Geita, kati ya wenyeji Geita Gold na Mtibwa Sugar ulimalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu kwa kufungana bao 2-2.

Simba Yamaliza Duru ya Kwanza Kibabe Ugenini
Timu ya Simba SC imefanikiwa kumaliza mchezo wake wa 15 katika duru ya kwanza kwa kuvuna ushindi mnono baada ya kuifumua Coastal Union jumla ya mabao 3-0 Wagosi.
NATIONAL TEAMS
Keep up-to-date with the Taifa Stars, Twiga Stars, Tanzania Bara U20, Serengeti Boys development
Mens Senior Teams
Women Senior Teams
Youth Teams
COMPETITIONS
Find out how you can participate in coaching, refereeing learning and professional development courses
GRASSROOTS
Stay up-to-date and find out how you can participate in grassroots football
WOMEN FOOTBALL
All you need to know about women’s and girls’ football
POLICY RULES AND REGULATIONS
Your guide to the laws of the game and football policies
The Laws of the Game are the codified rules of association football. The laws mention the number of players a team should have, the game length, the size of the field and ball, the type and nature of fouls that referees may penalize, the offside law, and many other laws that define the sport. During a match, it is the task of the referee to interpret and enforce the Laws of the Game.
LEARN ON HOW TO GET INVOLVED
Find out how you can participate in coaching, refereeing learning and professional development courses
ABOUT TFF
MANAGEMENT (OUR PEOPLE)
The President & Board
TFF President
Vice President
Finance


